Request Line: Call or TEXT to 255 732 927722

MJ FM Featured Artist


Lamar

Ni kijana mdogo lakini mambo yake makubwa na yanasumbua sana hapa nchini. Si mwingine bali ni Lamar Niekamp aka Lamar mmiliki wa Fish Crab Studio.
Alizaliwa mwaka March 8, 1986 hapa hapa jijini. Baba yake ni Mdachi aitwaye Niekamp Mayasberge na Mama yake ni Mngazija aitwaye Tamrina Ahmed Hamid.
Alipata kozi fupi ya muziki huko nchini Netherland, na hapa nchini amepata ujuzi na uzoefu kutoka Bongo Record kwa Produza P Funk aka Produza Majani.
Aliamua kwenda solo na kuanzisha studio yake ya Fish Crab ambayo ni moto wa kuotea mbali.
Lamar amefanya kazi na wasanii kibao ndani na nje ya nchi.
Kwa sasa Lamar anachukua International Diploma in Computer Studies kwenye chuo cha Learn IT cha hapa hapa Dar es Salaam.

Pata kazi ya Lamar hapa chini.

This text will be replaced by the flash music player.MJ FM - Featured Photo


Miriam Gerald


Miss Tanzania 2009 katika pozi.
 


Listen to MJ FM - LIVE 24/7


MJ FM HOT VIDEO


MJ ANNOUNCEMENT

YOU CAN NOW CHAT LIVE WITH THE HOST AND OTHER LISTENERS. CLICK CHAT BUTTON ABOVE.

REQUEST LINE IS 255 732 927722 - PLEASE CALL OR TEXT TO REQUEST A SONG OR A SHOUT OUT.

World's tallest building (THE BURJ DUBAI) Grand Opening Firework

Follow MJ FM onMJ FM - Top 20 Songs

 

1 KAMWAMBIE - DIAMOND  
2 EMPIRE STATE OF MIND - JAY Z Ft ALICIA KEYS  
3 STIMU ZIMELIPIWA - JO MAKINI  
4 BED ROCK - YOUNG MONEY Ft LIOYD  
5 REPLAY - IYAZ  
6 HATURUDI NYUMA - KIDUMU Ft JULIANA  
7 ONE LOVE - STEVE Ft BABY BOY  
8 HARD - RIHANNA Ft JEEZY  
9 I CAN TRANSFORM YA - CHRIS BROWN Ft SWIZZ BEATS & LIL WAYNE.  
10 WATCHA SAY - JASON DERULO  
11 YORI YORI - BRACKET  
12 DOWN - JAY SEAN Ft LIL WAYNE  
13 MR. PRESIDENT - ROMA  
14 RUSSIAN ROULETTE - RIHANNA  
15 BED & BREAKFAST - A.Y Ft JOKATE  
16 WA KITAA - NGWEA Ft BABUU WA KITAA  
17 RUN THIS TOWN - JAY Z Ft RIHANNA & KANYE WEST  
18 NDANI YA NYUMBA - N2N  
19 UTAIPENDA - HUSSEIN MACHOZ Ft JO MAKINI  
20 TE AMO - RIHANNA  

MJ FM - Top News

LONDON
Utafiti uliofanywa na kikundi cha Newsnight umeonyesha utata katika ushahidi muhimu uliomtia hatiani aliyelipua bomu huko Lockerbie, Abdelbaset Ali al-Megrahi.

Soma Zaidi.

KOMBE LA MATAIFA


Jumapili ijayo,Januari 10 hadi 31 itakua " asie na mwana aeleke jiwe na asie na mguu atie gongo-mkutano nchini Angola." Misri, au mafiraouni kama timu ya Taifa inavyofahamika, wataingia uwanjani kutetea taji lao walilolitwa miaka 2 iliopita nyumbani Cairo, walipoitoa kwa bao 1:0 Ivory Coast.Misri, imeangukia kundi C pamoja na Nigeria,Benin na Msumbiji
Soma Zaidi.


MJ FM - Poll
Tafadhali Piga Kura ya Maoni Hapa:


No Poll available


 
site by JOJO Studios, Inc.

Copyright 2009 © Mambo Jambo Media Group (T) Ltd - All rights reserved
Mambo Jambo Media Group (T) Ltd.
P.O. Box 33632 Dar es Salaam - Tanzania
info@mjmediaonline.com
Tel. +255-715-930930
Mambo Jambo FM Radio
First Floor Room No. 3. Esso Road - Meru Plaza
P.O. Box 7319 Arusha - Tanzania

info@mambojamboradio.com